Ufafanuzi wa mwanamize katika Kiswahili

mwanamize

nominoPlural wanamize

  • 1

    kaa mdogo wa pwani wa rangi nyeupe mwenye miguu minane.

    nyamizi

Matamshi

mwanamize

/mwanamizɛ/