Ufafanuzi wa mwanandani katika Kiswahili

mwanandani

nomino

  • 1

    sehemu wazi ndani ya kaburi inayochimbwa makusudi ili kulazwa maiti.

    mji, luhudi

Matamshi

mwanandani

/mwanandani/