Ufafanuzi wa mwanasoka katika Kiswahili

mwanasoka

nominoPlural wanasoka

  • 1

    mchezaji wa mpira wa miguu.

Matamshi

mwanasoka

/mwanasɔka/