Ufafanuzi wa mwandamano katika Kiswahili

mwandamano

nomino

  • 1

    hali ya vitu au watu kufuatana mmoja baada ya mwingine.

    mfuatano

Matamshi

mwandamano

/mwandamÉ”/