Ufafanuzi msingi wa mwanga katika Kiswahili

: mwanga1mwanga2

mwanga1

nominoPlural wanga, Plural myanga

 • 1

  mtu afanyaye mazingaombwe ya uchawi usiku.

 • 2

  mtu anayetembea usiku badala ya kulala.

Matamshi

mwanga

/mwanga/

Ufafanuzi msingi wa mwanga katika Kiswahili

: mwanga1mwanga2

mwanga2

nominoPlural wanga, Plural myanga

 • 1

  nuru ya k.v. mchana, taa au jua.

  mwangaza

Matamshi

mwanga

/mwanga/