Ufafanuzi wa mwangao katika Kiswahili

mwangao

nominoPlural myangao

  • 1

    kimelea au kirukia cha karafuu.

Matamshi

mwangao

/mwangaɔ/