Ufafanuzi wa mwanguzi katika Kiswahili

mwanguzi

nominoPlural wanguzi

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kuangusha matunda k.v. nazi kutoka mtini.

Matamshi

mwanguzi

/mwanguzi/