Ufafanuzi wa mwangwi katika Kiswahili

mwangwi

nominoPlural myangwi

  • 1

    sauti inayorejea kwa mara ya pili baada ya kutolewa k.v. mtu anapopiga kelele ndani ya pango au msituni.

Matamshi

mwangwi

/mwangwi/