Ufafanuzi wa mwani katika Kiswahili

mwani

nominoPlural mwani

  • 1

    mmea usiojigawa katika majani na mzizi, wenye rangi ya hudhurungi, kijani au nyekundu, unaopandwa ufukweni.

Matamshi

mwani

/mwani/