Ufafanuzi msingi wa mwanya katika Kiswahili

: mwanya1mwanya2

mwanya1

nominoPlural myanya

 • 1

  uwazi uliopo baina ya meno mawili, hasa ya mbele.

 • 2

  nafasi nyembamba iliyopo baina ya vitu viwili.

  upenyo

Matamshi

mwanya

/mwaɲa/

Ufafanuzi msingi wa mwanya katika Kiswahili

: mwanya1mwanya2

mwanya2

nominoPlural myanya

 • 1

  nafasi ya muda.

  ‘Hakunipa mwanya wa kutoa mawazo yangu’
  wasaa, fursa, nafasi, upenyu

Matamshi

mwanya

/mwaɲa/