nominoPlural wari
- 1
mtu anayewekwa ndani kwa kutawishwa; mwanamwali.
- 2
mgonjwa anayetengwa na kuwekwa ndani ili apate matibabu bila ya kuonekana na watu.
- 3
bwana harusi au bibi harusi wakati wa fungate.
Matamshi
mwari
/mwari/nominoPlural wari
- 1
ndege mkubwa mwenye midomo mipana na mirefu yenye machavua kama shungi la jogoo na miguu mifupi, hupenda kula samaki.
mwendambize