Ufafanuzi wa mwega feleji katika Kiswahili

mwega feleji

nominoPlural mwega feleji

  • 1

    kifaa cha mshonaji viatu cha pande la chuma ambalo juu yake huwekwa kiatu kugongelea misumari.

Matamshi

mwega feleji

/mwɛga fɛlɛʄi/