Ufafanuzi wa mwehu katika Kiswahili

mwehu

nomino

  • 1

    mtu aliyechanganyikiwa, ambaye vitendo vyake vinafanana na vya mwendawazimu.

Matamshi

mwehu

/mwɛhu/