Ufafanuzi wa mwekahazina katika Kiswahili

mwekahazina

nominoPlural wekahazina

  • 1

    mtu anayetunza fedha za shirika, idara au chama.

Matamshi

mwekahazina

/mwɛkahazina/