Ufafanuzi wa mweledi katika Kiswahili

mweledi

nominoPlural weledi

  • 1

    mtu anayejua jambo fulani.

    mwelewa

  • 2

    mtu aliye stadi katika fani fulani.

    bingwa

Matamshi

mweledi

/mwɛlɛdi/