Ufafanuzi wa mwelekevu katika Kiswahili

mwelekevu

nominoPlural welekevu

  • 1

    mtu mwenye kuelewa mambo na kufuata anavyoambiwa.

Matamshi

mwelekevu

/mwɛlɛkɛvu/