Ufafanuzi wa mweleko katika Kiswahili

mweleko

nomino

  • 1

    tendo la kuchukua mgongoni.

Matamshi

mweleko

/mwɛlɛkɔ/