Ufafanuzi wa mwembe katika Kiswahili

mwembe

nominoPlural myembe

  • 1

    mti mkubwa wenye majani marefu na membamba kiasi, magome magumu na unaozaa matunda yenye maganda laini, kokwa moja, nyama laini na tamu yanapoiva.

Asili

Khi

Matamshi

mwembe

/mwɛmbɛ/