Ufafanuzi wa mwendawazimu katika Kiswahili

mwendawazimu

nominoPlural wendawazimu

  • 1

    mtu mwenye ugonjwa wa akili.

    kichaa

Matamshi

mwendawazimu

/mwɛndawazimu/