Ufafanuzi wa mwende katika Kiswahili

mwende

nominoPlural myende

  • 1

    mti unaokua kwa kufanya tao kwenye shina na unaozaa matunda madogomadogo yanayofanana na kokwa za tende.

Matamshi

mwende

/mwɛndɛ/