Ufafanuzi wa mwenyekiti katika Kiswahili

mwenyekiti

nominoPlural wenyeviti

  • 1

    mtu aliyechaguliwa na watu kuongoza k.v. chama au mkutano.

    kinara

Matamshi

mwenyekiti

/mwɛɲɛkiti/