Ufafanuzi wa mwera katika Kiswahili

mwera

nomino

  • 1

    sehemu iliyo na unyevunyevu na rutuba inayostawisha mimea ya aina ya minyaa.

    chepechepe

Matamshi

mwera

/mwɛra/