Ufafanuzi wa mwereka katika Kiswahili

mwereka

nomino

  • 1

    mchezo wa kushikana na kuvamiana kwa watu wawili kwa lengo la kuangushana.

Matamshi

mwereka

/mwɛrɛka/