Ufafanuzi wa mwezekaji katika Kiswahili

mwezekaji

nominoPlural wezekaji

  • 1

    mtu ambaye kazi yake ni kupanga na kurekebisha makuti, mabati au vigae kwenye mapaa ya nyumba.

    mvimbaji

Matamshi

mwezekaji

/mwɛzɛkaʄi/