Ufafanuzi wa mwezi kongo katika Kiswahili

mwezi kongo

  • 1

    pia mwezi mchanga au mwezi mwandamo mwezi ulioanza kujitokeza; mwezi wenye umbo la theluthi moja ya duara ambao hutokea siku ya kwanza ya kuandama hadi siku ya saba; kipindi baina ya siku ya kwanza ya kuandama mwezi na siku saba za mwanzo.

Ufafanuzi wa Mwezi kongo katika Kiswahili

Mwezi kongo

msemo

  • 1

    mwezi mwandamo.