Ufafanuzi wa mwezi mchimbu katika Kiswahili

mwezi mchimbu

  • 1

    pia mwezi mkuu mwezi baada ya kipindi cha mwezi mwandamo yaani mwezi baada ya kipindi cha siku 11 hadi 20 tangu kuandama kwa mwezi huo; kipindi baina ya siku ya 11 na 20 toka mwezi kuandama.