Ufafanuzi wa mwezi mpevu katika Kiswahili

mwezi mpevu

  • 1

    pia mwezi mkuu mwezi ambao una duara kamili na hutoa mwanga mkubwa, hudumu karibu usiku kucha na hii hutokea kati ya siku ya 21 na 28 tangu mwezi ulipoandama; kipindi baina ya siku ya 21 na 28 za kuandama mwezi, ndio unaosababisha maji ya bahari kujaa na kupwa.