Ufafanuzi wa mwigizaji katika Kiswahili

mwigizaji

nominoPlural wigizaji

  • 1

    mtaalamu wa mambo ya maigizo kwa kutenda kwa minajili ya kustarehesha, kuelimisha na kuadabisha.

Matamshi

mwigizaji

/mwigizaʄi/