Ufafanuzi wa mwiko katika Kiswahili

mwiko

nominoPlural myiko

  • 1

    kifaa cha mti kilicho chembamba upande wa mshikio na bapa upande mwingine, ambacho hutumika hasa kwa kusongea, kukorogea na kupakulia chakula.

Matamshi

mwiko

/mwikɔ/