Ufafanuzi wa mwili katika Kiswahili

mwili

nominoPlural myili

  • 1

    umbo zima la mtu au mnyama kutoka kichwa mpaka miguu.

    badani, jasadi, maungo

  • 2

    sehemu kubwa ya rangi ya nguo.

    ‘Nguo hii ni ya mwili mweupe na mwekundu’

Matamshi

mwili

/mwili/