Ufafanuzi msingi wa mwima katika Kiswahili

: mwima1mwima2

mwima1

nominoPlural wima

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutopendelea kukaa.

Matamshi

mwima

/mwima/

Ufafanuzi msingi wa mwima katika Kiswahili

: mwima1mwima2

mwima2

nominoPlural wima

  • 1

    kikundi cha wanawake kinachoshughulika na maziko.

Matamshi

mwima

/mwima/