Ufafanuzi wa mwindaji katika Kiswahili

mwindaji

nominoPlural windaji

  • 1

    mtu anayeshughulika na kuwatafuta wanyama porini na kuwaua kwa ajili ya chakula au kuzuia madhara.

    mrumba, mkaa, msasi

Matamshi

mwindaji

/mwindaʄi/