Ufafanuzi wa mwinjilisti katika Kiswahili

mwinjilisti

nominoPlural winjilisti

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwalimu wa dini ya Ukristo.

  • 2

    Kidini
    mtu anayeeneza dini ya Ukristo kwa kuwaingiza watu katika dini hiyo.

Asili

Kng

Matamshi

mwinjilisti

/mwinʄilisti/