Ufafanuzi wa mwinyi katika Kiswahili

mwinyi

nominoPlural mamwinyi

  • 1

    tamko la heshima linalotumiwa kumwitia mwanamume.

    ‘Mwinyi Chande’

  • 2

    mtu apendaye kustarehe bila ya kufanya kazi.

    bwanyenye

Matamshi

mwinyi

/mwiɲi/