Ufafanuzi wa mwitikio katika Kiswahili

mwitikio

nominoPlural myitikio

  • 1

    jibu la jambo lililoulizwa awali.

Matamshi

mwitikio

/mwitikijɔ/