Ufafanuzi wa mwito katika Kiswahili

mwito

nominoPlural myito

  • 1

    taarifa au ishara ya kuita.

  • 2

    tendo la kuita.

    uitaji, jaliko

Matamshi

mwito

/mwitɔ/