Ufafanuzi wa mwivu katika Kiswahili

mwivu

nominoPlural wivu

  • 1

    mtu asiyependa kuona kuwa mwenzi wake au rafiki yake ana uhusiano na mwingine.

  • 2

    mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho.

Matamshi

mwivu

/mvivu/