Ufafanuzi wa mwongoleo katika Kiswahili

mwongoleo

nominoPlural myongoleo

  • 1

    ada inayotolewa katika shughuli za mazishi na matanga ya watu wakubwa katika sehemu za mwambao wa Afrika Mashariki na visiwa vyake.

Matamshi

mwongoleo

/mwɔngɔlɛɔ/