Ufafanuzi wa mwongozo katika Kiswahili

mwongozo

nominoPlural myongozo

  • 1

    mpango unaotolewa kwa mdomo au maandishi kuwaelekeza watu wengine kutekeleza kazi fulani.

  • 2

    maelekezo rasmi yanayosimamia utekelezaji wa shughuli fulani.

  • 3

    kiongozi

Matamshi

mwongozo

/mwɔngɔzɔ/