Ufafanuzi wa mwovodhaji katika Kiswahili

mwovodhaji

nominoPlural wovodhaji

  • 1

    mtu anayeogelea majini na kuutazama wavu wa juya chini ya maji ya bahari wakati wa kuvua samaki ili usikwame na kutatanika.

Matamshi

mwovodhaji

/mwɔvɔðaʄi/