Ufafanuzi wa myugwa katika Kiswahili

myugwa

nominoPlural miyugwa

  • 1

    mmea ambao majani yake ni mapana sana na hupikwa na kuliwa kama mboga ya mayugwa na huzaa majimbi.

    jimbi

Matamshi

myugwa

/mjugwa/