Ufafanuzi wa mzabuni katika Kiswahili

mzabuni

nominoPlural wazabuni

  • 1

    mtu anayeshindana mnadani kwa kutoa bei ya juu zaidi ili akipate kitu kinachonadiwa.

  • 2

    mtu au shirika linalouzia kampuni au shirika jingine mahitaji yake kwa mkataba wa muda.

Matamshi

mzabuni

/mzabuni/