Ufafanuzi wa mzambarau katika Kiswahili

mzambarau

nomino

  • 1

    mti mkubwa wenye majani mapana, matawi mengi na laini, maua meupe na huzaa zambarau zilizo kwenye kishada.

Matamshi

mzambarau

/mzambarawu/