Ufafanuzi wa mzao katika Kiswahili

mzao

nominoPlural mizao

  • 1

    msimu wa mimea fulani kutoa mazao.

  • 2

    tendo la kuzaa.

    ‘Mwembe huu mzao wake si mzuri’

Matamshi

mzao

/mzawɔ/