Ufafanuzi wa mzembe katika Kiswahili

mzembe

nominoPlural wazembe

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufanya mambo bila uangalifu.

  • 2

    mlegevu, mvivu

Matamshi

mzembe

/mzɛmbɛ/