Ufafanuzi wa mzengwe katika Kiswahili

mzengwe

nominoPlural mizengwe

  • 1

    mazungumzo ya siri; mazungumzo ya faragha.

    njama

  • 2

    masihara

Matamshi

mzengwe

/mzɛngwɛ/