Ufafanuzi wa mzinifu katika Kiswahili

mzinifu

nominoPlural wazinifu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufanya ngono na mtu asiye na ndoa naye.

    mzinzi, asherati, mbembe

Matamshi

mzinifu

/mzinifu/