Ufafanuzi msingi wa mzizi katika Kiswahili

: mzizi1mzizi2

mzizi1

nominoPlural mizizi

  • 1

    sehemu ya mmea iliyo ardhini ambayo huvuta maji, madini na vitu vyote vinavyohitajika na mmea kutoka ardhini kwa ajili ya maisha yake.

Matamshi

mzizi

/mzizi/

Ufafanuzi msingi wa mzizi katika Kiswahili

: mzizi1mzizi2

mzizi2

nominoPlural mizizi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    umbo la msingi la neno ambalo ndilo kiini cha neno na ndilo hutumika pia kama msingi wa kuundia maumbo mengine yanayohusiana nalo k.m. ‘-tu’ katika ‘mtu’ na ‘watu’.

Matamshi

mzizi

/mzizi/