Ufafanuzi msingi wa mzo katika Kiswahili

: mzo1mzo2

mzo1

nominoPlural mizo

 • 1

  kipimo cha farasila kumi au pishi 60.

 • 2

  kipimo kati ya ratili 350 mpaka 360.

  jazila

Asili

Kar

Matamshi

mzo

/mzɔ/

Ufafanuzi msingi wa mzo katika Kiswahili

: mzo1mzo2

mzo2

kielezi

 • 1

  kwa wingi.

  tele

Asili

Kar

Matamshi

mzo

/mzɔ/