Ufafanuzi wa mzofafa katika Kiswahili

mzofafa

kielezi

  • 1

    kwa maringo; kwa majivuno.

Asili

Kar

Matamshi

mzofafa

/mzɔfafa/